State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi. (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhaj Dkt.Amani Karume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza la Eid El Fitry,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa meza kuu wakifuatilia hubata ya Baraza la Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpa Mkono wa Eid Bw. Mohammed Ali Mzee, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • BALOZI Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe. Mohamed Ibrahim Al-Bulushi.Akiwa na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid El Fitry, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Eid El Fitry iIliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwac Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh. Abdulkarim Said Abdulla (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa Diniu na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh. Abdulkarim Said Abdulla, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry,ikisaliswa na Sheikh Rashid Salim Dau, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar Suleiman Jijini Zanzibar
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuka katika Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia Afrika Ikulu jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe.James Duddridge wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe.James Duddridge wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzoyao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika. Mhe. James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo akiongozana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika. Mhe. James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (MB) (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe. Deogratius Ndejembi.(MB) na Maofisa wa Wizara hiyo (hawapo pichani)mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora(MB)Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (MB) (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe.Deogratiu Ndejembi.(MB) na Maofisa wa Wizara hiyo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo (MB) Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MKURUGENZI Mkuu wa TASAF.Ndg.Ladislaus Mwamanga akitowa maelezo ya mafanikio ya Mradi wa Tasaf,kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Ujumbe wao ukiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Mohamed Omary Mchengerwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (MB) (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe.Deogratiu Ndejembi.(MB) na Maofisa wa Wizara hiyo(hawapo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • MKURUGENZI wa Mkuu wa Mkurubata Dkt.Seraphia Mgembe akizungumza wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Omary Mchegerwa na Maofisa wengi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufungua msikiti wa Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar na kujumuika katika sala ya Ijumaa

  • IMAMU Mkuu wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar Sheikh.Abubabar Said (Mwalimu Abuu) akizungumza na kutoa neon la shukrani,wakati wa hafla ya ufunguzi wa msikiti huo, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupopichani)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijin Zanzibar baada ya kuufungua msikiti huo leo, kabla ya Sala ya Ijumaa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar baada ya kuufungua msikiti huo leo, kabla ya Sala ya Ijumaa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar Sheikh Abubakar Said (Mwalimu Abuu) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, Mfadhili wa Msikiti huo Dkt.Mohamed Saeed Mahfuodh na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman wakiitikia dua
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Masjid Shifaa Muembetanga(zamani ukijulikana kwa jina la Msikiti Maiti)(kulia kwa Rais) Mfadhili wa ujenzi wa Msjid Shifaaa Dk. Mohamed Saeed Mahfoudh, Waziri wa Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa Sheik.Mwalim Abubakar Said (Mwalimu Abuu) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Masjid Shifaa Muembetanga (zamani ukijulikana kwa jina la Msikiti Maiti) (kulia kwa Rais) Mfadhili wa ujenzi wa Msjid Shifaaa Dk. Mohamed Saeed Mahfoudh, Waziri wa Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa Sheik. Mwalim Abubakar Said (Mwalimu Abuu) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jiwe la Msingi la Masjid Shifaa baada ya kuondoa kipazia kuashirika kuufungua rasmin leo 7-5-2021, na (kulia kwa Rais) Mfadhili wa Ujenzi wa Msikiti huo Dk. Mohamed Saeed Mahfuodh na(kushoto kwa Rais)Waziri wa Katiba,Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar,kwa ajili ya ufunguzi wa Msikti huo (zamani ukijulikana kwa jina la Msikiti Maiti) ufunguzi huo umefanyika leo 7-5-2021 kabla ya Sala ya Ijumaa.