Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabodhiwa Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Mster Plan)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Bw. Mohamed Al Tooqi, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi Talib Haji,Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar.Mhe Rahma Kassim Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar.(Master Plan) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Bw. Mohamed Al Tooqi akiwasilisha Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Bw. Mohamed Al Tooqi, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa kukabidhiwa Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) uliotayarishwa na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika Futari maalum aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwaaga Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi. (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall, kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Lela Mohammed Mussa.wakiitikia dua.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Wete, Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wilaya ya Wete Pemba
WANANCHI wa Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Mattar,wakati wa hafla ya futari maalum iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali walipowasili Uwanja wa Ndege wa Chake chake Pemba,akiwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahro Matar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili Kisiwani Pemba na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ajili ya ziuara ya Siku mbili Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Masjid Nuurul Yaqiin katika kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kikjiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
WAZIRI wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Nyumba za Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji hicho Mkoa wa Kaskazini Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo.
WAZEE wa Kijiji cha Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid NuurulYaqiin Dundua ulioka katika eneo la Kijiji Kipya cha Dundua