State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku mbili

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali walipowasili Uwanja wa Ndege wa Chake chake Pemba,akiwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku mbili
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahro Matar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili Kisiwani Pemba na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ajili ya ziuara ya Siku mbili Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Masjid Nuurul Yaqiin katika kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja

  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kikjiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
  • WAZIRI wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Nyumba za Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji hicho Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo.
  • WAZEE wa Kijiji cha Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid NuurulYaqiin Dundua ulioka katika eneo la Kijiji Kipya cha Dundua

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Msahafu uliotolewa na Masheikh wa Mkoa wa Kaskazini Unguja akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa kwa Wananchi wa Mkoa huo.
  • BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
  • MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa salamu za Mkoa wakati wa hafla ya Futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo.
  • BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum iliandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni Unguja
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni Unguja, akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma na (kushoto kwake ) Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe Mtumwa Peya Yussuf
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Salum Gharib baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja mkokotoni, wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,na (kulia kwam Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja mkokotoni, (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari aliyowaandalia ukumbi wa Suza

  • RAIS w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbu wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na kubadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Kusinbi Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe Simai Mohamed Said na Mbunge wa Jimbo la Tungu Mhe. Khalifa Salim Suleiman, wakiwa katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA (Tunguu Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi huo
  • Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia siki ya Wafanyakazi Duniani ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni jJijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yalioadhimishwa Kitaifa katika Mkoa wa Mjini Magharibiu Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
  • KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC)Bi.Mwatum akisoma Salamu za Wafanyakazi wa Zanzibar wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wafanyakazi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yalioadhimishwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wafanyakazi Bora kutoka Taasisi mbalimbali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • MKURUGENZI wa Jumuiya ya ZANEMA Ndg.Salah Salim Salah akitowa salamu za Wafanyakazi wa Zanzibar katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliofanyika katika ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanziubar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soroga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Ndg.Ali Mwalimu, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi
  • BAADHI ya Wafanyakazi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimishi ya Siku ya Wafanyakazini Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora kutoka Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Pemba Ndg. Ali Thani Awesu, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi Bora kutoka Shirika la Bandari Zanzibar Ndg Masoud Haji Juma
  • WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wakuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akihutubia katika maadhimisho hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar(ZATUC) Ndg. Ali Mwalimu akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wafanyakazi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimishi ya Siku ya Wafanyakazini Duniani Mei Mosi yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar