Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria mashindano ya 121 ya Fainali ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki uwanja wa Amani Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu waliokaa na waliosimama Washiriki wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya Kuhifadhi Quran Tukufu Juzuu 30 kutoka Nchini Kenya Mwanafunzi Yunus Masoud kwaboko, yaliofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar (kushoto kwa Rais) Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaan Alhadi Mussa Salum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar. Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Fainali ya 12 ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi amejumejumuika na wananchi wa Mbuzini katika sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Masjid Al –Jalil baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar naMw enyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume akizungumza na kutowa mawaidha kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi. kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa,iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
KHATIBU Mohammed Omar Ali akitowa hutba ya Sala ya Ijumaa kwa Waumuni wa Dini ya Kiislam katika Masjid Al –Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Sheikh Said Mohammed Said na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipowasili katika masjid hiyo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi ikiongozwa na Mhe Hassan Zungu wakielekea katika ukumbi wa Bunge wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan, Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake)Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mama , wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa paredi kwa ajili ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Tulia
VIONGOZI Wakuu Wastaaf wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.
RAIS Mstaaf wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa na Marais Wastaaf wakielekea katika ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Jijini Dodoma.wakati wa hafla ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika Katika Ibada ya Sala Ya Isha na Tarawekh na Wananchi wa katika Masjid Sunna Rahaleo.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid hiyo Sheikh Ahmed Haidar Jabir.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akivuta uradi baada ya kumaliza kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar, (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid Sunna Rahaleo Sheikh Ahmed Haidar Jabir
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewatembelea wazee wa Sebleni Zanzibar na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Bi. Asaa Ali Issa akitowa shukrani kwa niaba ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makaazi ya Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto anayeshughulikia (Ustawi wa Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto ) Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza wakati wa alipofika katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
BAADHI ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdallah na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana