Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesafiri kuelekea Nchini Msumbiji Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Sadc
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Msumbiji kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC unaofanyika Jijini Maputo Msumbiji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,unaofanyeka Jijini Maputo Msumbuji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza wananchi katika kisoma cha dua Maalum kumuombea Rais wa kwanza wa Zanzibar
VIONGOZI wa Dini na Waumini wa Kiislam wakisoma hitma na dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume, kisomo hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitia ubani wakati wa hafla ya kisoma cha Dua na Hitma ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume na (kulia) kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kisomo hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza kisoma cha Dua na Hitma ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume, iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) ni Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Waziri Mkuu wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Bi.Maryam Mliwa (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zuhura Kassim na (kulia kwa Rais) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar Khalfan. Wakiitikia dua
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman,Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhajj Dkt. Amani Karume, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Alhajj Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakiitikia dua katika hafla ya kisomo cha Hitma na Dua iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Waziri Mkuu wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali
MJANE wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume,MAMA Fatma Karume akishiriki katika kisomo cha Dua na Hitma ya kumuombea marehemu iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia) Mke wa Rais Mstaa wa Zanzibar Mama Shadya Karume na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Mgeni Hassan Juma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehe Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo maalum na dua iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Jijini Zanzibar.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume na (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa.
MWAKILISHI wa Familia ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Balozi Ali Karume akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehe Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo maalum na dua iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Musta Kitwana wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar sheikh. Othman Hassan Ngwali katika kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Mama Fatma Karume na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakiwa katika viwanja vya kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume wakati wa kumuombea dua
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume, katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Alhajj Dk. Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Amaan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala ya Ijumaa
WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala ya Ijumaa
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAl hajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Rajab Mohammed Faki na Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa
Kuapishwa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Ikulu Chamwino Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wakuu (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kumaliza kuhutubia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika viwanja vya Ikulu Chamwino
BAADHI ya Mawaziri na Wabunge wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Tanzania katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akizungumza baada ya kumaliza kula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania,hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Chamwino Dodoma
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe Philip Mangula ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa jijini Dodoma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala,alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliofanyika leo 30-3-2021
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe Philiph Japhet Mangula akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma 30-3-2021, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma na (kushoto kwake ) Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Dodoma
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kabla ya kuaza kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Japhet Mangula, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo 30-3-2021
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara MhePhilip h Japhet Mangula akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma 30-3-2021, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdaulla, wakibadilishana mawazo wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika 30-3-2021 Dodoma.