Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Wakurugenzi wa Makampuni binafsi Tanzania Ikulu Leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dino Stengel (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania.Bw.Dino Stengel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Wajumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga
RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu
RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa(kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi wa Mwalimu Nyerere Foundation Ikulu. Zanzibar
RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa(kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
Mkutano wa Mwaka wa Mapitio ya Program ya Huduma za Jamii kwa Wazee (Afford)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD)
BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Ujumbe wa pongezi wa Ushindi katika Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka jana kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliowasilishwa na Mzee Makame Mohamed Khalfan katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
NAIBU Balozi wa Ireland nchini Tanzania Bibi. Chloe Horne alipokuwa akitoa salamu zake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuufungua Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar(katikati) Naibu Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi.Cloe Horne na Mkurugenzi wa Shirika la Help AgeInternational Tanzania Nd,Smart Daniel(kulia)