Rais wa Zanzibar amefungua Skuli ya Msingi Chimba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizungua Skuli ya Msingi Chimba Shehia ya Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba akiongozana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akielekea katika majengo ya Madarasa kwa ajili ya Uzinduzi wake ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Chimba, Shehia ya Chimba ikiwa katika shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Wazee wa Shehia ya Chimba Wilaya Micheweni Kisiwani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia Wananchi katika sherehe za shamra shamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wa Shehia ya Chimba wakifuatilia Hutuba ya Ufunguzi wa Skuli ya Msingi Chimba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo,ikiwa ni maadhimisho ya sherehe za shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Shehia ya Chimba, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya Chimba, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Shehia ya Chimba Wilaya ya Michewni Kisiwani Pemba
Wanafunzi Hairat Ali Omar na Rehema Haji Bakari wakisoma Utenzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Mshini ya Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa sherehe za shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua moja ya Madarasa ya Mskuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba Shehia ya Chimba, akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya uzinduzi wa Skuli hiyo uliofanyika leo.1-1-2019, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wa Wilaya ya Micheweni Shehia ya Chimba, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi Chimba, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Dk.Shein ameshiriki mazoezi ya viungo uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na kulia Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe. Balozi Ali Karume, wakishiriki katika Mazoezi hayo wakiungana na Wanamichezo wa Mazoezi ya Viuongo Zanzibar, wakielekea katika Uwanja wa Gombani kwa ajili ya mazoezi hayo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika matembezi ya mazoezi ya viungo,Kisiwani Pemba kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Iddi na kulia Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa, Mhe. Balozi Ali Karume, wakiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kumalizia matembezi hayo, na kufanya mazoezi ya viungo kwa vikundi vilivyoshiriki.
WANAMICHEZO kutoka Vikundi mbalimbali vya Mazoezi kutoka Unguja, Pemba na Tanzania Bara, wakiwa katika viwanja vya gombani wakifanya mazoezi ya pamoja baada ya kumaliza matemezi yao yalioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,yalioazia katika Wawi Matreka na kumalizia katika uwanja huo

WASHIRIKI wa mazoezi ya Kitaifa kutoka Unguja na Pembe wakiwa katika matembezi hayo wakipita katika maeneo ya Wawi POemba wakielekea katika Uwanja wa Gombani Pemba.
WANAMICHEZO kutoka Vikundi mbalimbali vya Mazoezi kutoka Unguja, Pemba na Tanzania Bara, wakiwa katika viwanja vya gombani wakifanya mazoezi ya pamoja baada ya kumaliza matemezi yao yalioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,yalioazia katika Wawi Matreka na kumalizia katika uwanja huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakiimba wimbo wa Taifa wa Zanzibar wakati wa Tamasha la Mazoezi yaliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiyapokea Matembezi ya Wanamichezo wa Mazoezi ya Viungo wakiingia katika Uwanja wa Mpira wa Gombani Kisiwani Pemba kumalizia matembezi hayo na kujumuika katika mazoezi.
WASHIRIKI wa Vikundi vya Mazoezi kutoka Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Tamasha la Mazoezi la Kitaifa lililofanyika katika viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba na kushirikisha Vikundi vya mazoezi kutoka Unguja, Penda na Tanzania Bara. Vilijumuika katika mazoezi hayo
WANAMICHEZO wa Kikundi cha Mazoezi kutoka Jijini Dar es Salaam Dr Jogging wakishiriki katika mazoezi hayo ya Kitaifa kwa mwaka huu yamefanyika Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Gombani Pemba
WANAMICHEZO wa Vikundi vya Mazoezi wakiimba Wimbo wa Taifa wa Zanzibar kabla ya kuaza kwa mazoezi ya pamoja katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakiimba wimbo wa Taifa wa Zanzibar wakati wa Tamasha la Mazoezi yaliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba
WANANCHI Kisiwani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi katika Uwanja wa Gombani Pemba
MWENYEKITI WA Chama cha Wafanya Mazoezi ya Viungo Zanzibar Ndg,Said. Suleiman akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazoezi Kitaifa yaliofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
WAZIRI wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume akizungumza wakati wa Tamasha hilo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananamichezo katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
KAMISHNA WA Michezo Zanzibar. Bi.Sharifa Khamis akizungumza wakati Tamasha la Mazoezi katika Viwanja vya Gombani
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Cheti cha Shukrani kilichotolewa na Chama Cha Wanamichezo ya Viungo Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg Abdalla Juma.
VIONGOZI wa Vikundo vya mazoezi wakiongoza mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba leo asubuhi na kushirikisha Vikundi kutoka Unguja,Pemba na Tanzania Bara yaliofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
WASHIRIKI wa Mazoezi kutoka Vikundi mbalimbali Unguja, Pemba na Tanzania Bara, wakishiriki katika mazoezi ya viungo katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba mwaka huu Kitaifa yamefanyika katika uwanja huo
WASHIRIKI wa Mazoezi ya Viungo kutoka Jijini Mkoani Dodoma wakishiriki katika mazoezi hayo ya Kitaifa yaliofanyika mwaka huu katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
KIKUNDI cha mazoezi kutoka Mkoa wa Kaskazini Unguja Donge wakishirika katika mazoezi hayo ya viungo wakipita jukwaa kuu mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi wakati wa Tamasha la Kitaifa la Michezo ya lililofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Shukrani kwa Kushiriki katika Tamasha la Mazoezi Kiongozi wa ZONE B Unguja Dau Hamad. Kulia Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Shukrani Mjumbe wa Chama cha Mazoezi ya Viungo Zanzibar ,kupitia Jumuiya wa Watu wenye Ulemavu Zanzibar Ndg. Haidar Madoweya, wakati wa hafla hiyo ya mazoezi iliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba
WANAMICHEZO wa Kikundi cha Mazoezi kutoka Jijini Dar es Salaam Dr Jogging wakishiriki katika mazoezi hayo ya Kitaifa kwa mwaka huu yamefanyika Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Gombani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi wakati wa Tamasha la Kitaifa la Michezo ya lililofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
Dk.Shein, amezungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya ya Zanzibar,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo.15/12/2018.kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Kongamano la pili la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili la Taifa Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Mohammed Seif Khatib, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt.Mohammed Seif Khatib, (katikati) wakati akitembelea maonesho ya Vitabu mbali mbali katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil , akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiangalia vitabu hivyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Alim Mohamed Shein, akiangalia Vitambu mbalimbali vya Wachapishaji wa Vitabu kutoka Tanzani na Kenya wakati wa maonesho hayo yaliokwenda sambamba na Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili LILILOFANYIKA Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili la BAKIZA Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua rasmin katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa na Watunzi wa Vitabu mbalimbali wakihudhuria hafla hiyo ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa ka Kiswahili Zanzibar, lililoandaliwa na (BAKIZA )wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Vitabu vya Kiu,Nyota ya Rehema,Ndg. Mohammed Suleiman, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar, linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akionyesha Kitabu cha Mtunzi Shafi Adam Shafi cha Mtoto wa Mama, baada ya kukizinduwa wakati wa hafla ya Kongamalo la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil,kulia Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume, Katibu Mtendaji wa BAKIZA Bi. Mwanahija Juma na kushoto Mtunzi wa Kitabu hicho cha Mtoto wa Mama Mzee Shafi Adam Shafi akipiga makofi baada ya uzinduzi huo,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Vitabu vya Kuli, Vuta N’kuvute, Haini, Mbali na Nyumbani,Kasiri ya Mwinyi Fuad na Mtoto wa Mama kilichozinduliwa.Ndg. Shafi Adam Shafi na kulia Waziri wa Vijana Utamaduni,Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozui Ali Karume, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Vitabu mbalimbali vya Kiu na Nyota ya Rehema na mtunzi wa Vitabu hivyo Ndg. Mohammed Suleiman, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idirissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Riwaya Mzee Yussuf Masauni kwa utunzi wake wa nyimbo mbalimbali, kulia Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt. Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David .P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Wageni waalikwa wanaohudhuria Kongamano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt.Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Watunzi wa Vitabu Ndg. Mohammed Suleiman na Ndg.Shafi Adam Shafi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt. Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David .P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Watunzi wa Vitabu mbalimbali waliokabidhiwa Vyeti.
Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil,kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulifungua
Mwakilishi wa Wachapishajhi wa Vitabu Ndg. Gabriel Kitua akitowa Salamu za Wachapishaji wa Vitambu mbali mbali walioshiriki Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar , lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati wa ufunguzi wake uliofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar,lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Kiswahuli na Watunzi wa Vitambu kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Mhe. Najma Giga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Tanzania pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdallah Juma Sadalla (Mabobi) wakiwa wamesimama wakipiga makifi baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar 11-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar, kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,pia ni Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakisoma makabrasha ya ajenda za Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, 11/12/2018, chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadalla (Mabodi) akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Kikao cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kiswadui Zanzibar 11-12-2018.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakiwa mamesimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar,kilichofanyika tarehe 11/12/2017 Zanzibar.