RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN IKULU ZANZIBAR.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran.Mhe Hossein Amir Abdollahian, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Jahazi mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Ijumaa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Mohammed Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Ayatul Kursiyu na Kiongozi wa Masjid Nabawi Sheikh Ali Aboud,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo iliyoko katika mtaa wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo. 26-6-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa mtaada wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi "B" Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliuofanyika katika Masjid hiyo 26-8-2022.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Oman Dr.Hamed Modh Al Dhawiani Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,(kulia kwa Rais)na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani (kulia kwa Rais) alipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-8-2022, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki zoezi la Sensa ya watu na makazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar (hawapo pichani) baada ya kumaliza zoezi la kuhesabiwa la Sensa ya Watu na Makazi lililofanyika 23-8-2022, katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar (hawapo pichani) baada ya kumaliza zoezi la kuhesabiwa la Sensa ya Watu na Makazi lililofanyika 23-8-2022, katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi.Asia Hassan Mussa wakati wa zoezi la kuhesabiwa lililofanyika katika makaazi yake Migombani Ikulu Ndogo leo 23-8-2022, zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi lilioza leo kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar Balozi Mohammed Hamza, kabla ya kuaza kwa zoezi la Sensa lililofanyika katika Makazi ya Rais Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwake) Mtakimwi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg.Salum Kassim Ali, zoezi hilo lililofanyika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar Balozi.Mohammed Hamza, kabla ya kuaza kwa zoezi lililofanyika katika Makazi ya Rais Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja 23-8-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husssein Ali Mwinyi amehutubia kilele cha siku ya Vijana Kimataifa ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
WAZIRI Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022, kabla ya kumkaribia mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongea Kijana Neema Suri akitowa burudani ya muziki wa Alam (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022 na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
BAADHI ya Vijana na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kimataifa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, iliyofanyika katika ukumbi huo leo 12-8-2022, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita na(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Dk.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja, kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliofanyika leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Vijana wa Mabaraza ya Vijana Zanzibar waliosimama nyuma baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwiny.