Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika sala ya Ijumaa Masjid Jamiu Zinjibar na Kumtembelea Mzee Khamis Abdulla Ameir.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroub Ali Suleiman, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Kitabu kilichoandikwa na Mzee Khamis Abdulla Ameir, kinachozungumzia historia yake, baada ya kukabidhiwa wakati wa mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yale leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisra Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yake leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachoelezea Historia ya Maisha yake Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake leo 12-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Khamisi Abdulla Ameir aliyekuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Maisara kumtembelea na kumjulia hali yake.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji wa saini ya Makabidhiano ya “Data” za utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa vitalu vya Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
VIONGOZI Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya utiaji wa saini hiyo, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika Kazi zao Zanzibar wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini katika viwanja vya Ikulu.
WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia) wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia) wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.

Makabidhiano ya Ofisi ya Rais -Ikulu Zanzibar.
ALIYEKU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akizungumza na Wakuu wa Taasisi za Ofisi ya Rais - Ikulu wakati wa hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Masoud Hussein Iddi (kulia kwake) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar.
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akimkabidhi vitendea Kazi Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais - Ikulu leo 9-8-2022.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi akizungumza na Wakuu wa Idara za Ofisi ya Rais Ikulu, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katika Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg. Mussa Haji Ali.(hayupo pichani) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshughudia utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi. Khadija Khamis Rajab na kwa Kampuni ya CCECC amasaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo imefanyika leo 6-8-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab na kwa upande wa Kampuni ya CCECC kutoka China amesaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China Bw. Zhang Junle Le.(hayupo pichani) akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Barabara za Mjini Magharibi zaidi ya Kilomita Mia moja, wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zaidi ya Kilomita Mia Moja, zitakazojengwa na Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.
Rais wa Zanzibar ambae pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar Leo 6-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar,baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.