Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ametoa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marememu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Mume wa Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan, aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, Sheikh. Abdulrahaman Saleh alipofika nyumbani kwa marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza kwa Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Hajat Akiba Rajab Ramadhan, aliyefariki katika Mji wa Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, alipofika nyumbani kwa Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 5-8-2022.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya kiislam katika sala ya Ijumaa Masjid Qubba kwa Boko Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo, 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo, 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022, Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kwaboko baada ya kuwasalimia na kupiga picha nao nje ya Masjid hiyo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi.(kulia kwa Rais) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa uliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa Kiongozi wa Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja Bw. Ali Hobe, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi. 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kwaboko baada ya kuwasalimia na kupiga picha nao nje ya Masjid hiyo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo, 5-8-2022
Rais wa Zanzibar amewaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Rashid Ali Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
NDUGU Rashid Ali Salum akiapa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
NDUGU RAJAB Yussuf Khamis Mkasaba akiapa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Maua Abeid Daftari kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibarna (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Masoud Hussein Iddi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
DKT.Maua Abeid Daftari akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
NDUGU.Masoud Hussein Iddi akiapa kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
Mhe.Juma Makungu Juma akiapa Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman baada ya kumaliza mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Dkt. Suleiman Haji Suleiman, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,alipofika kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Alim Mwinyi amezindua muongozo wa Mafunzo ya Sayansi,Kingereza na Hisabati kwa Skuli za Sekondari Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.
WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kizindua Muongozo huo, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sanyasi Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim,Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw. Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Ngoma ya Msewe katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja. alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo,kwa ajili ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Walimu wa Skuli za Sekondari Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Mwandamizi wa Good Neighbors Tanzania John Messenza akitowa maelezo ya Vitabu vya muongozo wa Elimu ya Sayansi, wakati akitembelea maonesho hayo ya nyenzo za kufundishia masomo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Pyo Kim na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.