Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameendelea na ziara yake Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Leo 17-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Hundi ya Shilingi Milioni Mia mbili kwa Uongozi wa Kikundi cha Ushirikia cha Umoja ni Nguvu Wauza Mbao Unguja, ikiwa ni mkopo kwa Kikundi hicho uliotolewa na Benki ya CRDB, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufunguo wa gari Mwenyekiti wa Kikundi cha Wajasiriamali Usafi Kwanza Bi.Fauzia Omar, kwa ajili ya kufanyia usafi katika Shehia yao lililotolewa mkopo kupitia Benki ya CRDB,kwa kikundi cha Ushirika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jiwe la Msingi la Mradi wa Skuli ya Msingi Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022, na (kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
MTOTO Sheghan Fesal akishangilia na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiendelea na ziara yake leo 17-7-2022.
Ziara ya Rais Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto )alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipoisimamisha kazi Kampuni ya Assosiated Investiment& Services LTD ya Dar Es Salaam chini ya usimamizi wa Nd,Theodony Andrew Zani kutokana na utendaji wao wakazi wa kusuasua katika Shehia ya Monduli akiwa katika ziara ya kutembelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo kwa Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Bibi Raifa Kibwana Mkaazi wa Dole, Wilaya ya Magharibi A akizungumzia changamoto zinazowakabili katika Shehia yao wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwera wakati alipozindua ujenzi wa Barabara za Vijijini kwa kiwango cha lami,alianzia barabara ya Mwera -Kibondemzungu wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wanne kulia)alipokuwa akisoma maandishi ya jiwe la msingi Hospitali ya Wilaya Mbuzini mara ya kufungua pazia jiwe hilo ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali hiyo leo akiwa katika ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo kwa Wilaya ya Magharii “A”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la kujenga Uchumi JKU Kanali Makame Abdalla Daima kuhusu Ujenzi wa Skuli ya Kihinani Msingi iliyojengwa na Kikosi chake Ujenzi wa madarasa kumi na mbili kupitia fedha za UVIKO 19, wakati wa ziara ya kutembelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akizungumza na Wajenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Tangi la Maji Safi na Salama “Mehga Ingeneering &Instruction; LTD “ambayo imeahidi kumalizika kwa ujenzi huo ifikapo Mwezi januari Mwakani,wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
Maafisa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (hayupo pichani) alipokuwa akisoma ratiba ya Ziara ya Mhe. Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kabla ya kuanza kwa ziara katika Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi leo.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali wakiwa katika hafla ya usomwaji wa Ratiba ya ziara ya Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyoianza kwa kutembelea miradi ya maendeleo katika maeneo ya Shehia mbali mbali za Wilaya ya Magharibi”A” huko katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Magharibi ”A” wakati akianza ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisoma kitabu cha ratiba iliyokuwa ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (hayupi pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuanza ziara katika Wilaya ya Magharibi”A” ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akishukuru kwa kupata taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Mkoa katika miradi ya maendeleo kabla ya kuanza kwa ziara yake ya Wilaya ya Magharibi”A” ya kutembelea na kuangalia miradi ya maendeleo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania amejitambulisha kwa Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mgunda wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake Kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mgunda wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake Kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa amehudhuria mkutano wa Kumbukizi ya hayati Benjamin William Mkapa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Rais Mstafu wa Msumbiji Mhe Joachim Chisano, baada ya kumalizika kwa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kuembesamaki Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana (kushoto kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja kuhudhurika kumbukizi ya Hayati Benjamin Mkapa. iliyofanyika leo 14-7-2022 katika ukumbi wa Hoteli hiyo.
BAADHI ya Wageni waalikwa katika mkutano wa Kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika leo 14-7-2022, katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Mohammed Gharib Bilal, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika 14-7-2022, katika ukumbi huo.
Dk.Mwinyi amezungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza Kireno.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) baada ya mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo, Mhe.Balozi Sandro de Oliveira(wa tatu kushoto) kutoka Nchini Angola (kushoto) Balozi Mdogo wa Mozambiq anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta,Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare (wa pili kulia) na Balozi wa Heshima wa Brazil hapa Zanzibar Abdulsamad Abdulrahim.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (wa tatu kulia) kutoka Nchini Angola.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (wa tatu kulia) kutoka Nchini Angola
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare, akiungana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (katikati) kutoka Nchini Angola.