Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa amehudhuria mkutano wa Kumbukizi ya hayati Benjamin William Mkapa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Rais Mstafu wa Msumbiji Mhe Joachim Chisano, baada ya kumalizika kwa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kuembesamaki Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana (kushoto kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja kuhudhurika kumbukizi ya Hayati Benjamin Mkapa. iliyofanyika leo 14-7-2022 katika ukumbi wa Hoteli hiyo.
BAADHI ya Wageni waalikwa katika mkutano wa Kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika leo 14-7-2022, katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Mohammed Gharib Bilal, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika 14-7-2022, katika ukumbi huo.
Dk.Mwinyi amezungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza Kireno.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) baada ya mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo, Mhe.Balozi Sandro de Oliveira(wa tatu kushoto) kutoka Nchini Angola (kushoto) Balozi Mdogo wa Mozambiq anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta,Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare (wa pili kulia) na Balozi wa Heshima wa Brazil hapa Zanzibar Abdulsamad Abdulrahim.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (wa tatu kulia) kutoka Nchini Angola.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (wa tatu kulia) kutoka Nchini Angola
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare, akiungana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (katikati) kutoka Nchini Angola.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid Al Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid Al Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja 10-7-2022, na kuhudhuria na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Wananchi na wa Vyama vya Siasa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amefika nyumbani kwa mfanyakazi wake kutoa mkono wa pole.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefika Nyumbani kwa Mfanyakazi wake kutoa mkono wa pole baada ya kifo cha Baba Mzazi wa Mfanyakazi huyo huko nyumbani kwao Dole,Ndunduke Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na wanafamilia wa Marehemu Bw.Mohamed Ali Juma mume wa Mbunge wa Jimbo la Bububu Mhe.Mwantakaje Haji Juma alipofika Nyumbani kwao Bububu Kijichi Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi kutoa mkono wa pole.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofika Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Bububu Mhe.Mwantakaje Haji Juma (wa pili kulia) leo kutoa Mkono wa pole baada ya kufiliwa na mume wake Marehemu Mohamed Ali Juma, Kijichi Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais Dk.Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo ameshiriki katika swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar iliyoswalishwa na Sheikh Iddi Muhsin Iddi kutoka Ofisi ya Muftiu Mkuu wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Spika wa baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid (katikati)pamoja Viongozi wengine mara baada ya Swala ya Ijumaa ilyoswaliwa leo katika msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya kiislamu wakiwa katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar wakisikiliza hutba ya swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar iliyosomwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume (hayupo picnani), na swala ikaswalishwa na Sheikh Iddi Muhsin Iddi kutoka Ofisi ya Muftiu Mkuu wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) pamoja Viongozi wengine wakiitikia dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,(katikati) baada ya Swala ya Ijumaa ilyoswaliwa katika msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.