State House Blog

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa katika Mskiti wa Masijd Sunna uliopo Kikwajuni Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (wa pili kushoto) leo mara baada ya swala ya Ijumaa liyoswaliwa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabbir Alfarsiy leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo ameshiriki swala ya Ijumaa na Waumini mbali mbali katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa nassaha zake leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa msaada wa Vifaa Tiba na dawa kutoka kwa Madaktari Bingwa wa Jamhuri ya watu wa China wanaotoa huduna za Afya katika Hospitali za Unguja na Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka China Dr.Qu Lishuai wakati akikabidhi Vifaa Tiba kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Unguja,Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, Chake chake Pemba na Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 7-6-2022. (Kulia kwa Dr Qu ) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Kichina wanaotoa huduma za Afya katika Hospitali za Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kukabidhi Vifaa Tiba na Dawa mbalimbali kwa ajili ya Hospitli ya Kuu ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar,Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,Chake chake Pemba na Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Kichina wanaotoa huduma za Afya katika Hospitali za Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kukabidhi Vifaa Tiba na Dawa mbalimbali kwa ajili ya Hospitli ya Kuu ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar,Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, Chake chake Pemba na Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Madaktari Bingwa kutoka Kichina wakiongozwa na Dr. Qu Lishuai (kulia kwa Rais) alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kukabidhi Vifaa Tiba kwa ajili ya Hospitali za Mnazi Mmoja, Kivunge,Chakechake Pemba na Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka Kichina Dr. Qu Lishuai akizungumza na kuwatambulisha Madaktari Bingwa wanaotowa huduma za afya katika Hospitali za Unguja na Pemba, wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa Tiba , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 7-6-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani.

  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-6-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la CCM Kilimani wakati wa zoezi la Uchaguzi kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wa Tawi, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-6-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga Kura yake kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachohusiana na Jumuiya ya Istiqaama, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Zanzibar, Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 4-6-2022, na Ujumbe wa Jumuiya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Sultan Khamis Mbarouk akizungumzia changamoto za Jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022, walipofika kujitambulisha na kuelezea kazi za Jumuiya yao kwa Jamii ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar ukingozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 4-6-2022, na Ujumbe wa Jumuiya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Sultan Khamis Mbarouk akizungumzia changamoto za Jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022, walipofika kujitambulisha na kuelezea kazi za Jumuiya yao kwa Jamii ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Criket Club And Sports Comlex” Fumba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Muwekezaji kutoka Nchini India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Jilesh Hitmat Babla, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.
  • WANANCHI wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihuubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Ckriket Club and Spotrs Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022., unaojengwa na Wawekezaji kutoka Nchini India.