Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwaapisha Viongozi aliowateua hivi Karibuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kulia,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Vionfgozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibini na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
VIONGOZI walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar wakisubiri kuapishwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Juma Yakuti Juma kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Suleiman Ali Suleiman kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathimini) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kimuapisha, Dkt.Othman Abbas Ali kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Mgeni Khatib Yahya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Hamad Omar Bakari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Khatib Juma Mjaja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwa wamesimama nyuma na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Maziko ya Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar. Haji Omar Haji na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Alhaj. Omar Othman Makungu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Wadi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakijumuika katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuuswalia mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, iliofanyika katika Masjid Noor Kombeni Wiliya ya Magharibi ‘B’ Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika maziko ya Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, yaliofanyika katika Kijiji cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja.
WANANCHI wakihudhuria maziko ya Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji yaliofanyika katika makaburi ya Kijiji cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana wa Jaji Mkuu wa Zanzibar Alhaj Omar Othman Makungu baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemi Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar. Haji Omar Haji, yaliofanyika katika makaburi ya Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Global Water Partnership Southern Africa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa” Bw.Alex Simalabwi, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi(kulia kwa Rais).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”Bw.Alex Simalabwi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi.(kulia kwa Rais)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partneship Southern Africa” baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-9-2021
Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake Kisiwani .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Shumba Mjini wakati wa ziara yake kukagua Bandari ya Shumba Mjini, bandari hiyo inatarajiwa kurasimishwa na kujengwa ili kutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho

KATIBU wa Bandari ya Shumba Mjini Bw.Hussein Rashid akizungumza changamoto katika bandari hiyo. Wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari ya Shumba Mjini ambayo inatarajiwa kurasimishwa.
WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.
WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo ya mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.
Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake Kisiwani

WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioaza.
KATIBU wa Kamati ya Kilimo cha Mwani Kiuyu Mbuyuni Bi. Bimkubwa Mkashasha Shaame akizungumzia changamoto za zao la mwani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakati wa ziara yake kuwatembelea wakulima wa Mwani katika Kijiji cha Kiuyu mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba leo 31-8-2021.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbagu akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati wa ziara yake kuwatembelea Wakulima wa Zao la Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba Benki ya CRDB itatowa mkopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Khatib Mshindo mkulima wa Mwani akizungumza changamoto za zao la Mwani wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kuzungumza na Wakulima wa mwani wa Kiuyu mbuyuni leo 31-8-2021
BAADHI ya Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni. Wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.
MWANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Hamad Kombo Msolopo akizungumza kero yake wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuzungumza na Wakulima wa Kilimo cha Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.