Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mhe.rof. Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania Mhe Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais)na(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katika Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Makamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Ikulu Zanzibar leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha ya Sensa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kulia kwa Rais) Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika leo 12/8/2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021
RAIS wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021
Rais wa Zanzibar akizungumza na Uongozi wa Istiqama Charitable Organization.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum (wa tatu kushoto) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kusalimiana
Balozi mdogo wa Msumbiji amejitambulisha kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.