State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Wasanii wa Bongo Flave Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu, wakiwa Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021 katika Uwanja wa Mao Zeding.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wasanii wa Muziki wa Bongo Flevawalipo fika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva ukiongozwa na Mwanamuzi Nandy, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,wakiwa Zanzibar katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021. Katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu, wakiwa Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021 katika Uwanja wa Mao Zeding.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva Faustina Charles (Nandy) akizungumza wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, akiwa Zanzibar katika onesho lake la Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21-7-2021 katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amakutana na kuzungumza na Uongozi wa Ziff Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya malengo la Tamasha hilo la Ziff, linalotarajiwa kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe Jijini Zanzibar 21-7-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof. Martin Mhando akitowa maelezo ya Malengo na Dhamira ya Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho 21/7/2021 katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya malengo la Tamasha hilo la Ziff, linalotarajiwa kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe Jijini Zanzibar 21-7-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando,Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Mashindano ya Mbio za Marathon 2021 Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga bastola juu kuzindua Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon ya kilomita 5, yalioazia katika eneo la Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, wakishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Zanzibar International Marathon.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, wakishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Zanzibar International Marathon
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • BALOZI Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng akishiriki mbio za Zanzibar International Marathon za Kilimomita 5 (kulia kwake) na Mdau wa Michezo Zanzibar Raza Lee na (kushoto kwake) Salama Jabir Balozi wa Zanzibar International Marathon wakishiriki mbio hizo zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • Wanariadha wakichuana katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia viwanja vya Ngomekongwe Mji mkongwe leo na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimvalisha nishani Nd,Panuel Mkumbo kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanaume katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 aliyetumia Saa 1:04:48 yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimkabidhi shada la mauwa Nd,Pamela Chepkoech kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanawake wa mashindano International Marathon ya kilomita 21
  • Baadhi ya Washiri wa mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) kutoka Wasafi Media wakiwa ni miongoni mwa Wanariadha walioshiriki mbio hizo leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar, ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ndio alikuwa mgeni Rasmin katika mashindano hayo.
  • Watoto hawa Pichani wakishiriki riadha kilomita 400 sambamba na mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) Kilomitra 21 katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
  • Wanariadha katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 wakijitayarisha kuanza Mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar,ambapo mgeni rasmin alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mama Marium Mwinyi na Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe.Othman Masoud Othman (katikati) wamejumuika na wanamishezo mbali mbali katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia leo katika Viwanja vya Ngomekongwe,Mji Mkongwe na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon kwa upande wa Wanaume Panuel Mkungo kutoka Nchini Kenya, kwa kuibuka mshindi wa kwanza wa Kilomita 21, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mbio za Zanzibar International Marathon Kilomita 21.

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe baada ya kujitambulisha na mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar mazungumzo pamoja na kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akabidhiwa Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020.