State House Blog

Ziara ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza Wananchi wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B"wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya Wananchi Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B" wakinyanyua mikono kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kabla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Mwananchi wa Shehia ya Welezo Bw. Ameir Ismail Hassan alipopkuwa kielezea kero ya kutopatikana kwa huduma ya Maji Safi na Salama katika Shehia hiyo leo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
  • Mwananchi Khamis Ali Haji aliyetoa malalamiko mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yanayohusiana na Mgogoro wa Adrhi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyowasilishwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisikiliza taarifa ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto) alipokuwa akiisoma ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kuhusu utekelezaji wa kazi mbali mbali kwa Mkoa wake wakati wa ziara ya iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo
  • Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Wananchi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo

Ziara ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Kaskazini.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini"A" akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • Wananchi na Wafanyabishara wa Kinyasini Wilaya Kaskazini"A" wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akizungumza nao leo mara baada ya kuelezwa Changamoto zao akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • Wananchi wa Kinyasini pamoja na Wafanyabiashara wakisimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuelezea Changamoto zao mbali mbali zinazowakabili ili waweza kupata ufafanuzi wake kwa Rais alipofanya Ziara katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini "A" akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • KAIMU Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kaskazini" A" Dk. Hamid Juma Saidi alipokuwa akitoa ufafanuzi wa Changamoto mbali mbali zilizotolewa na Wananchi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokutana na Wananchi hao leo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • Baadhi ya Wananchi waliofika wakati Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ulipofika maeneo ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini "A" wakisikiliza Changamoto zilizotolewa na Baadhi ya Wafanyabiashara ili zimfikie Rais alipokuwa katika ziara yake Leo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Baadhi ya Kinamama Lishe hawakuwa nyumba katika kueleza changamoto zao kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo waliomba kupatiwa mikopo waweze kuendeleza na kukuza mitaji yao wakati wa ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kutmbelea miradi mbali mbali ya maendeleo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akitoa nasala zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa tatu kushoto) akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo (kulia) Amiri Ali Khamis.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Madarasa mapya manane ya Skuli hiyo.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kuwafungulia rasmin madarasa yao mapya manane ya Skuli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Chaani baada ya kuyafungua Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo,akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazinin Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi wakati wa Meneja Mkuu wa Hoteli ya Riu Palace Zanzibar Ndg.Hamad Zaied akimkabidhi Komputa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi ya Chaani Bi.Latifa Masoud Issa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo yaliojengwa na kukamilika kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Wilaya Kati Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo.
  • Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Barabara ya vijiji hivyo vya Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo akiendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akimsikiliza Mhandisi wa Idara ya Umwagiliaji maji Jogha Salum Mohamed (kulia)alipofika kuangalia maendeleo ya Mradi wa kilimo cha umwagiliaji Bonde la Cheju Wilaya ya Kati akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mzee Omar Iddi Omar Mkulima katika Bonde la Mpunga la Cheju Wilaya ya Kati kuhjusiana na ukukulima wa mpunga katika Bonde hilo akiendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akimsikiliza Mhandisi Mansour Mohamed Kassim (wan ne kulia) alipofika kuangalia maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Binguni Wilaya ya Kati akiendelea na Ziara yake kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Abdalla Khatib Hamad katika kikundi cha wajasiria mali Mwera alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)alipokuwa akimsikiliza Nd. Salum Mohamed Salum wa Ushirika wa Vijana ZAN MIX wa Dungabweni Wilaya ya Kati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wajasiriamali wa Wilaya ya Kati viwanja wa Ukumbi wa Tunguu Suza akiwa katika Ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia katika Majumuisho ya Ziarayake ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya Kati.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia katika Majumuisho ya Ziarayake ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya Kati.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia katika Majumuisho ya Ziarayake ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya Kati.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia katika Majumuisho ya Ziarayake ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya Kati.

Ziara ya Rais wa Zanzibar Wilaya Kusini Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipotembelea maonesho ya vikundi mbali mbali wajasiria mali vya Wilaya ya Kusini yaliyofanyikla leo katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiuliza suala kwa Bi Mwanaisha Makame wa kikundi cha Furahia Wanawake Group kinachojishuhulisha na utengenezaji wa bizaa mbali mbali za zao la mwani katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.
  • Madaktari na wahudumu wa Hospitali ya Wilaya Makunduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguj
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) alipokuwa akimsikiliza Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawalabora pia Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman(kushoto)alipokuwa kitembelea Chuo cha Mafunzo ya Amali Kisogno Makunduchi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ahutubia Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.zilizofanyika katika ukumbi huo leo 26-6-2021
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar.Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizunguma katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani,zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wananchi na Wanafunzi wakifuatilia hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi na Wanafunzi wakifuatilia hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MWAKILISHI wa Waliopata Nafuu kutoka (Recovery Community Zanzibar) Ndg. Mikidadi Said Kassim akizungumza na kutowa salamu za waliopata nafuu na kuacha matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar, wakati Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • VIJANA wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • VIJANA wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.