Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Kikao Cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 19-6-2021. na (kulia kwake)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi akisoma ajenda ya Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika leo 19-6-2021.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein,. katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter. Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi kwa mazungumzo na wageni wake katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiyaya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashari ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Masharik Dr. Peter Mutuku Mathuki, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli na Jaji Nestor Kayobera walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiyaya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki waliokaa (kushoto kwake)Jaji Nestor Kayobera na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soroga na (kulia kwake) Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Unguja Ukuu Kae Pwani Masjid Nour katika Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Msjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ramadhan Rajab Mtoro,(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.
MJUMBE wa Kamati ya Ujenzi wa Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Sheikh.Ramadhani Rajab Mtoro akizungumza na kutowa maelezo ya ujenzi wa Masjid Nour baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti huo
WANANCHI wa Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa salamu kwa Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalib Ali Mfaume akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Unguja Ukuu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 18-6-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa salamu kwa Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa ShirikisholLa Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 16/6/2021, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regine Hess, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Regine Hess, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mpango Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya Kiserikali Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )Mhe.Suleiman Jafo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipofika Ikulu Jijinui Zanzibaer kwa mazungumzo yaliofanyika leo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali