Mkutano wa Kampeni CCM Mgombea Urais wa Zanzibar Makunduchi.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja
UMATI wa Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa na bango la picha za Wagombea Urais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi na Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakiwa katika jukwaa la viongozi wakati wa mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , uliofanyika katika uwanja wa ,pira wa jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja
TEAM Mwinyi Kwanza wakifuatilia mkutano wa Kampeni ysa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi yaCCM MheDk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanjwa wa mpira Jamuhuri Makunduchi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasilim katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika Uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofan

DkSshein amelifungua Jengo la Abiria uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein( katikati) akiwapungia mkono wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia kwa Rais ) Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Mustafa Aboud Jumbe (wa pili kulia) alipokagua jengo la Abiria la (Terminal III) baada ya ufunguzi rasmi uliofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kushoto)Meneja wa Ujenzi Jengo Nd.Yasser De Costa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huo umefanyika katika eneo la jengo hilo.(Picha na Ikulu)
BALOZI Mdogo wa Jamuhri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu akizungumza na kutowa Salamu ya Nchi yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
MKE wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi wakimtunza msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Asley akitoa burudani katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Jengo la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Dk. Sira Ubwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huom umefanyika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huo umefanyika leo 28/9/2020 katika eneo la jengo hilo
WAZIRI wa Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Dk. Sira Ubwa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuzungumza kuzungumza na wananchi waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
VIONGOZI wa meza kuu wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. Terminal III
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo jipya la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliani Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya kitaalam ya ujenzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
Mkutano wa CCM Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.
Wanachama wa CCM na wananchi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni kusikiliza Sera za Chama hicho zilizotolewa na Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa
Wana ccm wakiwa katika mkutano wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Mpira Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wasanii wa kikundi cha Wete Mjini wakiburudisha wakati wa mkutano ukiendelea katika kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali Uongozi wakiwemo Wawakilishi,Wabunge,madiwani na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mkutano wa kampen za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira wa Gando.
Jamuhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamuhri ya Watu wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar,kwa mazungumza na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanya Kazi zake Zanzibar.Mhe. Xie Xiaowu, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumuaga