State House Blog

Hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipkuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula cha jioni kilichokiandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)alipokuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula alichokiandaa jana kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
  • Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipokuwa wakichukua chakula katika hafla maalum iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana,wengine Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi