Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Gombani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, alipowasili katika viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhguria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea saluti ya Gwaride rasmin la maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliofadhimishwa kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungua Mkono Wananchi akiwa katika gari Maalum ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakati akiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa pamoja na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.
KIKOSI cha Bendera cha JWTZ kikipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakitowa heshima kwa mwendo wa Pole wakati wa bwaeride la kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi katika kikosi cha Polisi (FFU) kwa kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg.Phillip Mangula, alipowasili Jukwaa kuu baada ya kukagua gwaride rasmin la sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili jukwaa kuu la Viongozi baada ya kumaliza kukagua gwaride rasmin la sherehe za Mapinduzi katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa katika Jukwaa Kuu akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.na Viongozi wa Serikal na Vyombo vya Ulinzi na Usalama
VIJANA wa Payunia wakipita mbele ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,wakitowa heshima, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungia Wananchi wakipita katika jukwaa kuu kwa maandamano maalum yalioandaliwa kwa ajilin ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
VIJANA wa Payunia wakipita mbele ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,wakitowa heshima, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
VIJANA wa CCM wakipita mbele ya Jukwaa Kuu la Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika maandamano wamebeba picha za Viongozi.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakipita katika jukwaa kuu wakiwa na ngoma ya beni wakati wa maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmi la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
/KIKOSI cha JWTZ wakitowa heshima kwa mwendo wa polepole wakitowa heshima mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
KIKOSI cha Askari wa FFU wakipita kwa mwendo wa pole mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Dk. Ali Mohamed Shein
GADI ya kwanza ya Gwaride rasmin la kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakipita kwa mwendo wa Pole mbele ya jukwaa la Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
ASKARI wa Chuo cha Mafunzo wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima jukwaa kuu, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya
ASKARI wa Chuo cha Mafunzo wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima jukwaa kuu, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya
ASKARI wa Kikosi cha KMKM wakitowa heshima wakati wakipita Jukwaa Kuu Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba wakati wa gwaride la Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
ASKARI wa Kikosi cha JKU wakitowa heshima kwa mwendo wa Kasi mbele ya Mgeni Tasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein.
KIKOSI cha Jeshi la Polisi Wanawake wakitowa heshima wakati wakipita jukwaa kuu Uwanja wa Gombani Pemba