State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba 370 Kijiji Cha Bumbwini Kidazini Mkoa Wa Kaskazini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Alhan Karadeniz akitowa maelezo ya michoro ya nyumba zinazojengwa Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi huo,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto kwake) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo,ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo, (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • MUONEKANO wa baadhi ya Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Ujengi wa Barabara ya Kizimbani hadi Kiboje kwa kiwango cha lami.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Bodi Mpya ya BMF katika jengo la Mkapa Foundation Kawe.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuizundua Bodi Mpya ya Taasisi ya Benjam William Mkapa Foundation (BMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam leo 14-12-2024, na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (BMF) Balozi Liberata Mulamula na (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dr.Ellen M .Senkoro

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya MIOT ya India Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India,ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya MIOT kutoka Nchini India Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Hoteli Golden Tulip Uwanja Wandege Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa wakati akitoka katika ukumbi baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, iliyofanyika leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.. Hemed Suleiman Abdulla,baada ya kuizindua leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • MWANANCHI Rehema Ali Hassan Mkaazi wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja akifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa uzinduzi huo, uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali, Taasisi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, iliyozinduliwa leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, baada ya kuizindua leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar