State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Wananchi katika kisomo cha Hitma ya Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi Wakuu wa Serikali Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi kwa ajili ya Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza ka Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango.
  • RAIS wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Amani Abeid Karume akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
  • WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar