Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Hoteli ya Kitalii ya Emaralad Resort and Spa P-Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki matembezi ya kuhamasisha upimaji wa Moyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023,katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, iliyoaza 23-27,Januari 2023, matembezi hayo yaliyomalizikia katika uwanja wa Amaan Unguja 28-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023,matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023 , katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakiwa katika mazoezi ya pamoja ya viungo baada ya kumaliza kwa matembezi hayo katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023 Jijini Zanzibar na kufungwa kwa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar 23-27, Januari 2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan .K.Hafidh na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023, katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo, iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar 23-27,Januri 2023 matembezi hayo yaliyomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo 28-1-2023
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza baada ya kumaliza kwa Matembembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyoaza 23-27,Januari 2023, ufungaji huo uliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 28-1-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa 13/01/2023.
Swala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni Zanziubar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar kushiriki katika Ibada ya swala liyofanyika 27/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Wananchi na Vingozi mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine na Waumini mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Wananchi na Vingozi mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akizindua huduma za viwango vya Kimataifa Terminal 3 uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bw.Javed Jafferji,wakati wakitembelea Duka lake la Recycle Zanzibar katika jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakati wa hafla ya Ufunguzi wa huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023.(kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Bi.Kulsum Jafferji
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar ya wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uliofanyika 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya Uzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo la jipya la Termanal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo 26-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, uzinduzi huo uliofanyika leo 26-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3, uzinduzi huo uliyofanyika 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid.Salum Mohammed wakati akiondoka katika eneo la jengo la Terminal 3, baada ya kumalizika kwa hafla Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 iliyofanyika 26-1-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,uzinduzi huo ulioyofanyika 26-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023