State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la 6 la usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
  • WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
  • WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa KCAA ya Kenya Bi.Mercy Mbaika,akitowa maelezo wakati akitemnbelea maonesho,kabla ya kulifungua Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga la Jumuiya ya Afrika Mashariki lililofanyika leo 15-5-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Tanroads Chawe Kedrick wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Coastal Air Ndg.Basil Obeidat, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,kabla ya kulifungua Kongamani hilo linalofanyika leo 15-5-2024,katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Afisa wa Shirika la Ndege Tanzania Ndg.Ali Hassan Nassor, baada ya kutembelea banda la maonesho la Shirika hilo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mahusiano wa ZAA Mulhat Said Yussuf,akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege Pemba, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024