State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar, baada ya kumazika kwa Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijria, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kaabi, baada ya kumazika kwa Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijria, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijria,

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar, wakati wa hafla maalumu iliyoandaliwa na Ofisi ya Mufti Mkuu na kuzindua Kamati ya Kitaifa ya Kusimamia Madrasa Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-6-2025
  • BAADHI ya Masheikh wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na masheikh mbalimbali wa Zanzibar, wakati wa hafla maalumu iliyoandaliwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi hiyo Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-6-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefunga Mafumzo ya Kozi ya Maofisa wapya wa JKU na KVZ katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ.Mhe.Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya heshima na kukaguwa gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ , wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa hao. iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ wakila kiapo cha utii baada ya kutunukiwa Kameshine Maofisa Luteni Usu, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa hayo iliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunuku Kamisheni kwa Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ kuwa Luteni Usu, wakati wa hafla ya ufunguji wa Mafunzo ya Sita ya Kozi ya Maofisa hao , iliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya yaKati Unguja leo 26-6-2025

  • MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Sita ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mwanafunzi bora wa kutunga shabaha Ofisa Mpya wa Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja, Ramadhan Abdallah Mohammed, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya Sita ya Chuo hicho kwa Maofisa wa JKU na KVZ,yaliyofanyika leo 26-6-2025
  • MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Sita ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Sita ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Sita ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ.Mhe.Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya heshima na kukaguwa gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ , wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa hao. iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,uliyofanyika leo 23-6-2025 katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride rasmini la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima, wakati wa gwaride rasmin la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la kumi la Wawakilishi Zanzibar,lililofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • GWARIDE Maalumu la Kikkosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, gwaride hilo lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025,wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 23 Juni, 2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la kwanzalLa Kitaaluma la Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Heshima, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, akikabidhiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania Mhe.Deus Clement Sangu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt.Haroun Ali Suleiman, (wakiwa kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano hilo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viomgozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika leo 17-6-2025 katika ukumbi wa hoteli hiyo
  • Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Serikali ya Mapinduzi na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa karibu hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-202
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-202

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa ukanda wa Afrika Mashariki Mhe.Kate Osamor KJ

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 11-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025