Swala ya Eidel Filtri uwanja wa Maisara Suleiman mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar .
Wananchi na Waisalamu mbali mbali wakijumuika na Viongozi katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tano kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Wananchi wakisikiliza Hotuba ya baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyotolewa na Sheikh Khalid Ali Mfaume leo katika katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar baada ya Idaba ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waislamu Wanawake wakijumuika pamoja katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,