Dkt. Mwinyi ameshiriki uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Mgombea Mteule wa CCM kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi…
Read More