RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko k
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025