Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Read More