Zanzibar haitakuwa na tatizo la uhaba wa dawa kuanzia mwezi Julai mwaka 2019,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuanzia mwezi Julai mwaka 2019, Zanzibar haitakuwa tena na tatizo la uhaba wa dawa kwa magonjwa yote yanayowakabilia…

Read More

Malengo ya Mapinduzi matukufu ya Januari 12,1964 ni kufanya hali za maisha ya Wazanzibari kuwa bora.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa miongoni mwa malengo ya Mapinduzi matukufu ya Januari 12, 1964 ni kufanya hali za maisha ya Wazanzibari…

Read More

‘Zanzibar Sand Heroes” kualikwa chakula cha mchana na kupewa zawadi na Dk.Shein

MCHANA wa leo ulikuwa ni zamu ya Timu ya Taifa ya Zanzibar ya soka la Ufukweni ‘Zanzibar Sand Heroes” kualikwa chakula cha mchana pamoja na kupewa zawadi ya kuanzia ya TZS milioni moja kwa…

Read More

Mazoezi ni kinga na tiba mbadala ya maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa mazoezi ni kinga na tiba mbadala ya maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii katika maisha ya kila siku…

Read More

Zanzibar imeweza kuirudisha sifa na heshima iliyokuwepo miaka mingi katika mchezo wa Mpira wa Miguu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ni jambo la kufurahisha sana kwamba mwaka 2017 unaagwa huku Zanzibar ikiwa imeweza kuirudisha sifa na…

Read More

Dk.Shein ashiriki usafi wa mazingira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hakuna mbadala wa usafi hivyo wananchi wote wanapaswa kuwa wasafi wao wenyewe pamoja na mazingira wanayoishi.

Read More

Hafla ya kumpokea na kumpongeza Makamu M/Kiti wa CCM baada ya kuchaguliwa kwa kura zote

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi kutekeleza majukumu yao ili kuendelea kukipa ushindi chama hicho katika chaguzi zijazo na…

Read More