Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefunguliwa na RAIS wa Zanzibar na MBLM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuithamini, kuiendeleza, kuipenda na kuitumia lugha ya kiswahili na kuizungumza bila…

Read More

Dk.Shein amepokea kwa furaha matokeo ya ushindi wa Timu ya Taifa ya Mpira ya “Zanzibar Heroes”

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepokea kwa furaha kubwa matokeo ya ushindi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Zanzibar “Zanzibar Heroes” katika…

Read More

Dk.Shein amewataka Waumini wa dini ya Kiislamu kufanya mambo mema kwa ajili ya kujiaanda na mauti

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka Waumini wa dini ya Kiislamu kufanya mambo mema kwa ajili ya kujiaandaa na mauti.Alhaj Dk. Shein aliyasema…

Read More

Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Shein akiufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Tanzania

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ameutaka Umoja wa Wazazi Tanzania kujipanga vyema baada ya kupata safu nzuri ya uongozi kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za rambi rambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za rambi rambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Ali Mwinyi kufuatia vifo vya…

Read More

CCM ni chama cha kiungwana, kistaarabu na kinachoheshimu demokrasia na kufuata taratibu hivyo

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa CCM ni chama cha kiungwana, kistaarabu na kinachoheshimu demokrasia na kufuata taratibu hivyo, ameitaka Jumuiya ya UVCCM kwa…

Read More

Dk.Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,…

Read More

Dk.Shein amefanya Uteuzi na kuwabadilisha baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilisha nafasi baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi…

Read More