WAFANYABIASHARA WAMEENDELEA KUSISITIZWA JUU YA BEI KWA BIDHAA ZAO.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ameendelea kuwasisitiza wafanyabiashara kutowauzia wananchi bidhaa kwa bei ya juu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani…
Read More