Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga masoko makubwa mapya matano ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao katika mazingira bora zaidi.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga masoko makubwa mapya matano…

Read More

Dkt.Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Abbas Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Abbas Ali Mwinyi, kilichotokea jana tarehe 25 Septemba…

Read More

Dkt. Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo zaidi.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo…

Read More