Rais Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Sheikh Omar Bin Ali Qullaten

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya wananchi katika mazishi ya marehemu Sheikh Omar Bin Ali Qullaten, aliyefariki dunia…

Read More

Dkt Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima ili waweze kunufaika na Kuendesha Kilimo chenye tija.

Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo zaidi kuwasaidia Wakulima…

Read More

Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ijayo itakuwa na kasi Mpya ya Maendeleo

Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuongeza…

Read More