Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mjasiriamali wanaoende
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mjasiriamali wanaoendesha boda bodawakati alipoyatembelea makundi hayo pamoja na wakulima wa mazao ya viungo katika Shehia ya Mndo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.