UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya kuanzisha safari zake kati ya Misri na Zanzibar hatua ambayo…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kwa kutekeleza vyema majukumu yake ndani ya miaka mitano kwa kuendesha…
Read MoreMKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chanjo mpya ya maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi itatokomeza maradhi hayo kama yalivyotokomezwa maradhi…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Kampuni ya ‘Kunshan Asia Aroma Cooperation Limited” kutoka nchini China kwa uamuzi wake wa kuja kuekeza…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutekeleza Sera ya Diplomasia…
Read MoreHOSPITALI ya Drum Tower ya Mjini Naijing katika Jimbo la Jiangsu ya nchini China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya.Rais wa Hospitali hiyo Han Gungshu akiwa…
Read More