RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba

UZINDUZI WA ENEO LA VIWANDA CHAMANANGWE

SERIKALI ya Awamu ya Saba na ile ijayo imedhamiria kwa makusudi kuimarisha uchumi wa viwanda hapa nchini kwa kutenga eneo la viwanda pamoja na kuanzisha kiwanda cha Mwani huko Chamanangwe Mkoa…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akimuapisha Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

DK.SHEIN AMEMUAPISHA JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.

Read More

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 94(2) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kipazia kukifungua Kiwanda Kipya cha Kukamulia Majani Makavu ya Mkarafuu Mgelema Wilaya ya Chakechake Pemba

UFUNGUZI WA KIWANDA CHA KUSARIFU MAJANI MAKAVU YA MKARAFUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Saba ilifanya juhudi za makusudi katika kulibadilisha zao la karafuu kupitia Shirika…

Read More

Dk.Shein ameongoza mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mpendae Z’bar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mpendae Zanzibar kupitia Chama…

Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed  Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,  alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Mai

DK.SHEIN AMEMNADI MGOMBEA WA CCM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wanaCCM pamoja na wananchi wote wa Zanzibar kumchagua Dk.…

Read More