Wananchi kisiwani Pemba wametakiwa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi yao.
Wananchi kisiwani Pemba wametakiwa kuwachagua viongozi wa CCM ambao watakaa pamoja na wao na sio wale viongozi wanaowachagua kutoka vyama vya upinzani ambao wakishapata nafasi za uongozi huwakimbia…
Read More