Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi nzuri na ya kujitolea waliyoifanya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)…

Read More

Serikali itaendelea kutekeleza Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya Maendeleo kwa lengo la kuijenga Nchi na kuandaa Maisha Bora kwa Wananchi.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kutekeleza Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya Maendeleo…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Jumuiya ya Mawakili ya Afrika Mashariki Ushirikiano wa kina katika kuimarisha Utawala wa Sheria na Maingiliano ya Ukanda wa Nnchi za Afrika Mashariki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Jumuiya ya Mawakili ya Afrika Mashariki Ushirikiano wa kina katika kuimarisha Utawala wa Sheria na…

Read More

Dk. Mwinyi ameishukuru Serikali ya India kwa kuendeleza ushirikiano na misaada yake kwa Zanzibar katika sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii na kiuchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru India kwa kuendeleza ushirikiano na misaada yake kwa Zanzibar katika sekta mbalimbali za maendeleo,…

Read More