Dk.Shein azindua Baraza la Wawakilishi la Tisa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelizindua Baraza la Tisa la Wawakilishi na kubainisha kuwa Serikali itapanga vipaumbele vyake kulingana na uwezo…
Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelizindua Baraza la Tisa la Wawakilishi na kubainisha kuwa Serikali itapanga vipaumbele vyake kulingana na uwezo…
Read MoreKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 66 cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amewateua wafuatao kuwa…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Dk. Shein alimteua Balozi Seif Ali Iddi…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 39(2) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 amemteua Mhe. Balozi…
Read MoreKwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Salamu hizo za pongezi zilitumwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Li Yuanchao kwa niaba ya nchi yake, zilipongeza…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Said Hassan Said, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Read MoreKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua tena MHE. SAID…
Read MoreMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Li Yuanchao amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa tena…
Read More