MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofan

MKUTANO WA CCM MAKUNDUCHI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Dola na hivyo amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

UFUNGUZI WA JENGO LA TERMINAL III.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa na miundombinu bora ya kisasa ya usafiri ni nyenzo muhimu katika kuimarisha uchumi wa ndani ya nchi kupitia…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa

MKUTANO WA CCM GANDO.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaletea kiongozi mchapakazi…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AMEWAPA ZAWADI WANAFUNZI BORA WA KIDATU CHA SITA NA CHA NNE ZANZIBAR.

SEIRIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba iliamua kuifanya elimu kuwa ni moja ya vipaumbele vya Serikali kwa kuiongeza Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kutoka TZS Bilioni…

Read More

Jamuhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

JAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo hatua inayotokana na juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Read More

UFUNGUZI WA JENGO LA SHEIKH THABIT KOMBO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa sekta binafsi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kukuza sekta ya biashara, ambayo hivi sasa…

Read More