Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki mazishi ya Marehemu Bi Safia Abeid

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi leo ameshiriki mazishi ya Marehemu Bi Safia Abeid,mama mzazi wa Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Gati ya Mkokotoni, unalenga kuimarisha utoaji wa huduma,sambamba na kuufungua uchumi Mkoa Kaskazini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Gati ya Mkokotoni, unalenga kuimarisha utoaji wa huduma ili ziweze kuwa bora na endelevu,…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inalizingatia kundi la vijana kuwa ni kundi maalumu lenye changamoto ambazo ni wajibu wa serikali kuzitafutia ufumbuzi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inalizingatia kundi la vijana kuwa ni kundi maalumu lenye changamoto ambazo…

Read More