Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imekuwa ni nchi ya kwanza Afrika kutumia teknolojia ya mashine ya kupimia UVIKO 19 (EDE Covid Scanners).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Zanzibar imekuwa ni nchi ya kwanza Afrika kutumia teknolojia ya mashine ya kupimia UVIKO 19 (EDE Covid…
Read More