Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuipa kipaumbele Sera ya Diplomasia ya Uchumi katika nchi wanazokwenda kufanya kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi walioteuliwa hivi karibuni kuipa kipaumbele…
Read More