Wananchi wa Mkanyageni wamepongeza juhudi kubwa zilizochukuliwa na Dk. Shein

WANANCHI wa Mkanyageni, Mkoa wa Kusini Pemba wamepongeza juhudi kubwa zilizochukuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein za kuhakikisha amani,…

Read More

Dk.Shein aliungana pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliungana pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum aliyowaandalia, ikiwa ni miongoni mwa…

Read More

Jiepusha kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani hakuna aliye juu ya sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakumbusha wananchi kujiepusha kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani na kusisitiza kuwa atakayefanya hivyo atakumbana…

Read More

Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha…

Read More

Chama cha Mapinduzi kimejenga imani kubwa kwa Umoja wa Vijana wa chama hicho

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama cha Mapinduzi kimejenga imani kubwa kwa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) na kuwa maratajio yake…

Read More

Dk.Shein amechukua fomu ya kuomba Urais wa Zanzibar.

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi…

Read More

Wafanyabiashara wote nchini wametakiwa kutopandisha bei za bidhaa zao katika mwezi wa Ramadhani

Wafanyabiashara wote nchini wametakiwa kutopandisha bei za bidhaa zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani bila ya sababu za msingi na kuwafikiria wananchi hasa wanyonge kwani hatua hiyo ni kinyume…

Read More

Dk.Shein, amemtumia salamu za rambi rambi Kadhi Mkuu wa Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambi rambi Kadhi Mkuu wa Tanzania Bara Samahat Sheikh Abdulla Yussuf Mnyasi, kufuatia kifo…

Read More