Rais Dkt. Mwinyi amesema SMZ inaendelea kuchukua hatua kukabiliana na Gharama za Maisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali zote mbili za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Jamhuri ya Muungano…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewasili Pemba leo Tarehe 26 Mei 2026 kwa ajili kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid El Hajj pamoja na Baraza la Idd linalotarajiwa kufanyika Kesho.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewasili Pemba leo Tarehe 26 Mei 2026 kwa ajili kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid El Hajj…

Read More

Dkt. Mwinyi amesitisha Mijadala kuhusu kuongeza muda wake wa Urais na kusisitiza kusimamia Katiba ya Nchi ipasavyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesitisha Mijadala kuhusu kuongeza Muda wake wa Urais na kusisitiza kusimamia Katiba ya Nchi ipasavyo. Dkt, Mwinyi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi ameipongeza Benki ya Dunia kwa Mchango wa Maendeleo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuendelea kuisaidia Zanzibar kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo inayochangia…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi nzuri na ya kujitolea waliyoifanya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)…

Read More