Serikali itaendelea kutekeleza Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya Maendeleo kwa lengo la kuijenga Nchi na kuandaa Maisha Bora kwa Wananchi.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kutekeleza Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya Maendeleo…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Jumuiya ya Mawakili ya Afrika Mashariki Ushirikiano wa kina katika kuimarisha Utawala wa Sheria na Maingiliano ya Ukanda wa Nnchi za Afrika Mashariki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Jumuiya ya Mawakili ya Afrika Mashariki Ushirikiano wa kina katika kuimarisha Utawala wa Sheria na…

Read More

Dk. Mwinyi ameishukuru Serikali ya India kwa kuendeleza ushirikiano na misaada yake kwa Zanzibar katika sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii na kiuchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru India kwa kuendeleza ushirikiano na misaada yake kwa Zanzibar katika sekta mbalimbali za maendeleo,…

Read More

Serikali inakusudia kutoa Kibali cha Ajira Mpya katika Mwaka Mpya wa Fedha katika sekta ya Afya na Kada nyengine ili kukabiliana na Tatizo la Uhaba wa Wauguzi hapa Nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakusudia kutoa Kibali cha Ajira Mpya katika Mwaka Mpya wa Fedha katika sekta ya Afya na Kada nyengine…

Read More