UTEUZI
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 54 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu cha 11(1) cha Sheria ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Namba 3 ya mwaka…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema viongozi wote wa Serikali wana wajibu wa kusajili taarifa za mali na madeni kwa uwazi, ikiwa ni hatua muhimu…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza jinsi alivyopokea kwa furaha taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya kuendelea kukua kwa uchumi wa Zanzibar.
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuongeza kasi katika kuitumikia Wizara hiyo kutokana…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kuendeleza uadilifu na usimamizi mzuri wa kazi zao hasa kwa vile Wizara…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amewatoa wasi wasi wananchi waliokuwa hawajapatiwa vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi na kuwataka kuwa na subira kwani…
Read MoreUONGOZI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ umetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya matumizi ya Kamera pamoja na manufaa ya Mradi wa Mji Salama…
Read More