Dk.Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,…

Read More

Dk.Shein amefanya Uteuzi na kuwabadilisha baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilisha nafasi baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi…

Read More

Wananchi wa kijiji cha Michamvi kupatiwa maji safi na salama katika kipindi kifupi kijacho

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi wa kijiji cha Michamvi, kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kuwa Serikali ya Mapinduzi…

Read More

Dk.Shein aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu katika Maulidi ya Mtume Muhammad (SAW)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa…

Read More

Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta ametumiwa salamu za pongezi na Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais na kuendelea…

Read More

Zanzibar inaungwa mkono na China katika kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo ukiwemo ukamilishaji ujenzi wa jengo jipya la abiria la uwanja wa…

Read More

Oman imeahidi kuendeleza ushirikiano na uhusiano na Zanzibar

SERIKALI ya Oman imeahidi kuendeleza ushirikiano na uhusiano wa kidugu na kihistoria uliopo kati yake na Zanzibar sambamba na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha…

Read More

Salamu za pongezi ametumiwa Sultan wa Oman,Sultan Qaboos Bin Said Al Said na Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Sultan wa Oman,Sultan Qaboos Bin Said Al Said pamoja na wananchi wa nchi hiyo…

Read More